{ Mbona watu wa mataifa wanafanya ghasia (ghasia)
Na kuivuruga amani kati ya mataifa } *2n{n/b/ Kwa nini vita na malumbano viwepo,
Amani imetoweka, kwa nini viwepo viwepo,nkwa nini vita kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmojann/t/ Kwa nini vita na malumbano viwepo kati yetu,nsisi tulio kitu kimoja kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmojann/a/ Kwa nini vita na malumbano viweponkati yetu kwa nini vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmojann/s/ Kwa nini vita na malumbano vita viwepo kati yetu
Sisi tulio kweli watoto wake Baba mmoja } *2
Babu na bibi hawaelewani,
Baba na mama, Kaka na dada wamefarakana
Wamemsahau Mungu Baba
Bila huruma, wengi wanaua,
Watoto wasio na hatia, mbona wanatupwa,
Sasa hukumu i juu yenu