SectionsThanksgivingKwa Kinywa Changu

Kwa Kinywa Changu

Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Kwa kinywa changu nitaziimba sifa zako

Ulimi wangu utanena siku zote

Chorus

Oh Lord and my savior, I will sing for you *2

Mwili wangu utaja na furaha mbele zako

Moyo wangu utatoa shukurani kwako Baba

Verse 3

Mikono yangu napeperusha juu hewani

Nashangilia napigapiga hata makofi

Verse 4

Miguu yangu narusharusha pande zote

Naenda mbio nifike kule uliko nitubu

Verse 5

Kwa macho yangu nitakuona Mungu wangu

Kwa mawazo yangu nitakuwaza daima

Verse 6

Kwa masikio yangu nitakusikiliza

Uniitapo nitakuitika milele yote.