Chorus
Kwa furaha kuu twakuita wewe mbarikiwa
Mama yetu twakutukuza wewe una heri
Kwa imani twaleta mikononi mwako
Binadamu wote, wakiwa na matumaini na hofu zao
Usiwaache wakose mwanga wa kweli
Usiwaache wakose mwanga wa kweli
Verse 2
Duniani ulitangulia, kanisa mama utuombee
Verse 3
Utulinde Bikira Maria, utupe na neema ya wokovu
Verse 4
Utufikishe uwinguni, tufurahi pamoja milele