Chorus
Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu
Siachi kumuimbia pote niendapo *2
Verse 2
Aliyeniokoa ni Yesu aliyevumilia matesonaliyemwaga damu mtini ndiye Bwana wangu *2
Verse 3
Na kwa kunipenda mimi, aliuawa akafa
Ni pendo la ajabu kunifilia *2
Verse 4
Rohoni nimeoshwa na damu ya thamani
Makosa yameoshwa naye Mwokozi *2