SectionsEntranceKunapendeza

Kunapendeza

Entrance
Verse 1

(Kunapendeza kutazama kwake Bwana, nnyumba yake Bwana inapendeza) *2.

Inapendeza (kweli) inapendeza (sana),ninapendeza inafurahisha moyo.

Nyumba ya Bwana inapendeza.

Verse 2

(Kuna furaha kuingia kwake Bwana, nnyumba yake Bwana ina furaha) *2

Ina furaha (kweli), ina furaha (kubwa),nina furaha ni furaha ya mbinguni.

Nyumba ya Bwana ina furaha

Verse 3

(Kuna Baraka kuabudu kwake Bwana,nnyumba yake Bwana ina Baraka) *2

Ina Baraka (kweli) ina Baraka (nyingi),nina Baraka inayo baraka tele.

Nyumba ya Bwana ina Baraka

Verse 4

(Kuna chakula kutulia kwake Bwana,nnyumba yake Bwana ina chakula) *2

Ina chakula (kweli), ina chakula (kingi),nina chakula ni chakula cha roho zetu.

Nyumba ya Bwana ina chakula

Verse 5

(Kuna uzima kusujudu kwake Bwana,nnyumba yake Bwana ina uzima) *2

Ina uzima (kweli) ina uzima (tele), inanuzima ni uzima wa milele.

Nyumba ya Bwana ina uzima