SectionsExitKumbuka Ee Maria

Kumbuka Ee Maria

Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Verse 1

Kumbuka, ee Bikira Maria mpole sana

Haijasikika bado hata mara moja

Kwamba ulimwacha mtu, aliyekimbilia ulinzi wako

Aliyeomba msaada na maombezi yako-on{kumbuka*3 Eeh Bikira Maria aah }*2

Verse 2

Kwa matumaini hayo, tunakimbilia wewe eh Mama

Bikira wa mabikira, kwa matumaini hayo

Tunasimama mbele yako, tukilalamika si wakosefuneeh Bikira twaja kwakon{kumbuka*3 eeh Bikira Maria aah }*2

Verse 3

Eeh Mama wa neno la Mungu, usiyakatae maneno yetu

Bali upende kuyasikia, Na kuyasikilizan{Kumbuka*3 Eeh Bikira Maria aah }*2