Kristu Mshinda
Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Kristu Mshinda, Kristu mfalme,
Kristu Krsitu mtawala
Verse 2
Msifuni Bwana, enyi mataifa yote,
Msifuni, enyi watu wote
Verse 3
Maana fadhili zake kwetu ni kubwa sana
Na uaminifu wake wadumu milele
Verse 4
Atukuzwe Baba na Mwana,
Na Roho Mtakatifu
Verse 5
Kama mwanzo na sasa na siku zote,
Na milele, amina.