Verse 1
Ulimwengu unakiri mbingu zinahubiri
Kwamba yeye ni mwanzo na kwambanhuyo huyo ni mwisho
Kwa kuwa huyo ni Alfa na bado ni Omega
Kwamba yeye ni mwanzo na kwambanhuyo huyo ni mwisho
Chorus
Huyu mtukufu, ndiye Kristu mfalme *2
Mtawala wa upendo, yeye Kristu
Ajitoaye sadaka, yeye Kristu
Huyu mtukufu, ndiye Kristu mfalme
Verse 3
Anatawala dunia anamiliki mbingu . . .
Aliyekuwapo mwanzo, aliyepo na ajaye . . .
Verse 4
Anayesujudiwa na watawala wa nchi . . .
Anayewadhamini hata wamkataao . . .
Verse 5
Tuliyemjengea nyumba ya kumtukuza . . .
Akavutiwa nayo- na ameibariki . . .
Verse 6
Tuingie kwa shangwe twende kumshangilia.. .
Turukeruke nyumba tufurahi na malaika. .