Kristu (kafufuka aleluya) *2
Leo asubuhi - twakusifu ewe Bwana
Bwana kafufuka - twakusifu ewe Bwana
Sote tulikufa - twakusifu ewe Bwana
Sote tu wazima - twakusifu ewe Bwanan
Kristu alikufa - twakusifu ewe Bwana
Tena kafufuka - twakusifu ewe Bwana
Ili atawale - twakusifu ewe Bwana
Wafu na wazima - twakusifu ewe Bwana
Dhambi zetu zote - twakusifu ewe Bwana
Zimeondolewa - twakusifu ewe Bwana
Tumepatanishwa - twakusifu ewe Bwana
Na Baba Mbinguni - twakusifu ewe Bwana
Tumemiminiwa - twakusifu ewe Bwana
Roho Mtakatifu - twakusifu ewe Bwana
Tumeupokea - twakusifu ewe Bwana
Na uzima wake - twakusifu ewe Bwana
Basi tutafute - twakusifu ewe Bwana
Mambo ya Mbinguni - twakusifu ewe Bwana
Baba asifiwe - twakusifu ewe Bwana
Kwa njia ya Mwana - twakusifu ewe Bwana
Naye Roho Mungu - twakusifu ewe Bwana
Leo na Milele - twakusifu ewe Bwana