SectionsExitKristu Amekuwa Mtii

Kristu Amekuwa Mtii

LentExit
Chorus

{ Kristu amekuwa mtii kwa ajili yetu, mpaka kufa,

Hata kufa msalabani, hata kufa msalabani } *2

Verse 2

Kristu alijinyenyekeza, akawa mtii hata mauti

Naam mauti ya msalaba

Verse 3

Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno,

Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina

Verse 4

Ninyi mnaomcha Bwana msifuni

Enyi wote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni