Chorus
Kristu alijinyenyekeza,
Kristu alijinyenyekezan{ Akawa mtii hata mauti,nnaam mauti ya msalaba } *2
Verse 2
Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno
Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
Verse 3
Ninyi mnaomcha Bwana, msifuni
Enyi nyote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni
Verse 4
Wote wanionao hunicheka sana
Hunifyonza wakitikisa vichwa vyao