Kongoi Mising

Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo

Kongoi mising (haiya haiya) kongoinmissing kiptayatnyo x2

Chorus

Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi)

Kongoi we Baba kongoi mising x2

Twakushukuru Mungu, maana we u mweman

Verse 3

Kongoi we Baba kongoi mising x2

Wakati wa majonzi, wewe ndiwe tulizo

Wakati wa hasira wewe ni burudishon(hakika)

Verse 4

Wakati wote Baba wewe ni tegemeo

Giza likitokea wewe ndiwe mwangaza

Magonjwa yakijiri wewe ndiwe tabibu

Adui zangu wote umewaaibisha,

Japo ni wengi sana kama nywele za kichwa . . .

Wakati wa– njaa wewe ni msaada

Wajane mayatima wewe unawalinda wote

Verse 5

//Hitimisho//

Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo

Kongoi mising (haiya haiya)nkongoi missing kiptayanyo x2