SectionsExitKizazi Hiki

Kizazi Hiki

Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Nikifananishe kizazi hiki na kitu gani?

Nashindwa kusema kwa lugha nzuri iliyo fasaha } *2n{ (tazama) kizazi hiki kisicho na upendo,nkizazi kisicho na huruma,nchenye moyo wa jiwe (hakika)nhiki ni kizazi cha nyoka } *2

Verse 2

Kizazi kilichojaa chuki na kisasi,nufisadi na moyo wa hila

Verse 3

Kizazi kinachotukuza ushirikina,ntamaa na anasa za dunia

Verse 4

Ndimi zao zanena upotovu na unafiki,nna kuliasi JIna la Bwana

Verse 5

Mzabibu uliopanda na kuunyeshea mvua,ntazama umekuwa mzabibu mwitu