Chorus
{Mh Ni kishindo kikubwa kimejaa nyimbo, kishindo kikubwa
Kimejaa tenzi, kishindo, kishindo, cha masifu kishindo,nkishindo, kishindo, kishindo cha heshima kishindo } * 2
Verse 2
Watu wa Mungu tumekusanyika twendeni kwa Mungu,
Tukaimbe sifa, kishindo, haa- kishindo
Verse 3
Kwa ujasiri na kwa uhakika, kanyageni twende,
Wakati ni wetu, kishindo, haa- kishindo
Verse 4
Paza sauti kwa kujiamini, imbeni kwa nguvu,
Nafasi ni yetu, kishindo, haa- kishindo