SectionsEntranceKisha Nikaona

Kisha Nikaona

Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,LentEntrance
Chorus

Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya

Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpyan{ Nikauona mji (mji ule), ule mtakatifu

Jerusalem mpya ukishuka toka mbinguni } *2

Verse 2

Kwa maana mbingu ya kwanza na nchi ya kwanza,

Zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena

Verse 3

Nikasikia sauti kubwa ikitoka,

Kwenye kiti cha enzi, tazama maskani yake Mungu

Verse 4

Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao,

Naye atayafuta, machozi katika macho yao

Verse 5

Mauti maombolezo kilio maumivu,

Hayatakuwapo, tazama yote yamekuwa mapya