Kipeperushe Kitamba Chako
[ t ] Jiangalie jinsi unavyoenenda,nujiulize kama hivyo ni sawa
Ndugu rejea ahadi yako kumkataa Ibilisi muovun[ t ] Dhamira yako inakuambia nini,ninakusuta au bado ni huru, sasa
Ndugu rejea ahadi yako kumfuata Bwana Yesu milele
Ewe Mwenzangu - kipeperushe kitambaa chako
Cha ubatizo - cheupe kinachomeremeta
Kisichafuke - kipeperushe kitambaa chako
Cha ubatizo - cheupe kinachomeremeta
Kiweke safi - kipeperushe kitambaa chako
Cha ubatizo - cheupe kinachomeremeta
Uliye naye kweli ni mzuri sana,npia kumbuka yuko wako wa ndoa -
Uliyeapa ni wewe sio mwingine,nkushikamana naye yule mmoja, basi -
Maendeleo kweli ni muhimu sana,nlakini na wenzako wanahitaji -
Hicho kipato ndicho ulichopimiwa,nau mwenzetu unachota zaidi, leo -
Unatamani kuwa mwenye madaraka,numejiandaaje kuyatumia -
Je ni halali watu tukakutukuza,nwakati yupo yule alokuumba, haya -
Kumbuka Yesu alipigwa mijeredi,nkwa sababu ya haya unayotenda -
Akatundikwa mtini akiwa tupu,nkadhalilishwa mwisho akauawa, hivyo -
Kumbuka kuwa siku ile inakuja,nmatendo yako yote kuhesabiwa -
Ni heri leo ukitunze kitambaa,nsiku ya mwisho kiwa bado cheupe, kweli -