Chorus
Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Kimya hiki kinanishangaza sana, najiuliza
Ni kiumbe gani asiye na shukrani humu ulimwenguni *2n{ Ki-mya kimya, ki-mya kimya,nki-imya kimya, mimi nashangaa } *2
Verse 2
[ s ] Nami natoa sadaka yangu kwa Bwana,
Naye atapokea, jamani.
Verse 3
[ a ] Japo ni kidogo Bwana ukipokee, mimi naleta
Verse 4
[ t/b ] Kimya ni cha nini, tuamke wote,
Tupeleke zawadi zetu, kwake Bwana