SectionsExitKimulimuli

Kimulimuli

Wedding,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Ordinary TimeExit
Verse 1

Kimulimuli chamulika pande zote za dunia

Ngurumo zake zasikika, zasikika kotenona matetemeko ya ardhi, hata na vitanpia na njaa nayo magonjwa yasipona

Tuyakumbuke yale yaliyotabiriwa na manabiinya kuwa siku za mwisho yatatokea haya

Tujiweke tayari atakapokuja Bwana wa mavuno

Mbingu na nchi zitapita

Neno la Mungu litadumu

Tujiweke tayari atakapokuja Bwana wa mavuno

Tujiweke tayarin{Tujitakase, tujitakase, tujiweke tayari

Tujitahidi, tubadili mwenendo wa maisha

Kwa kuwa hatujui siku wala saa }* 2

Verse 2

Tumuombe sana Mungu arudishe huruma yake

Tuweze kushinda haya yote