Chorus
Kimbunga cha roho kinavuma, ni manabii wenye uwongo
Usiku mchana kinavuma, Imani za watu kinasonga
Kimbunga, kimbungan
Verse 2
Ni kile kilicho tabiriwa, kimbunga, kimbunga
Na Bwana Yesu kwenye andiko, kimbunga, kimbunga
Verse 3
Na sasa ndiyo yanatimia, kimbunga, kimbunga
Manabii wenye uwongo, kimbunga, kimbunga
Verse 4
Sasa ni wakati wa kukesha, kimbunga, kimbunga
Tuzitetee imani zetu, kimbunga, kimbunga