Chorus
{ Kila penye ngoma, hapakosi chereko (chereko)
Na kila penye chereko chereko
Zawadi zawadi hazikosi } *2
Chorus
{ Twendeni sasa kwa Bwana mfufuka
Aliyeyashinda mauti mzima kweli
Zawadi zawadi tukatoe } *2n{ Haya twende twende twende
Zawadi tumwage tumwage
Kwa Bwana aliyefufuka, fufu-ka } *2
Verse 3
Watu hutoa zawadi nzuri tena za kutamanisha
Siku siku ya harusi, siku ya ngoma
Je mimi nitatoa nini hata kikupendeze
Siku siku ya kufuka, siku ya leo
Verse 4
Bwana simama kwa chereko, nyimbo ngoma na vigelegele
Siku siku ya kufuka, siku ya leo
Nawe jirani twende tukatoe hata kidogo usisite
Siku siku ya kufuka, siku ya leo