SectionsEntranceKila Mwenye Pumzi

Kila Mwenye Pumzi

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Christmas,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus

Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya *2

Kila mwenye pumzi, na amsifu Bwana *2

Verse 2

Msifuni Mungu katika patakatifu pake,

Msifuni katika anga la uweza wake *2

Verse 3

Msifuni Mungu kwa matendo yake makuu

Msifuni kadiri ya wingi wa ukuu wake *2

Verse 4

Msifuni Mungu kwa mvumo wa baragumu

Msifuni sifuni kwa kinanda na kinubi *2

Verse 5

Msifuni Mungu kwa matari na kucheza

Msifuni sifuni kwa zeze na filimbi *2

Verse 6

Msifuni Mungu kwa matoazi yaliayo

Msifuni sifuni kwa matoazi yavumayo *2