Chorus
Kila kilicho juu ya nchi,nni mali yake Bwana, mwumba mbingu
Kila kilicho juu ya nchi,nni mali yake Bwana, mwumba mbingu
Verse 2
Mashamba ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Mazao ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Verse 3
Mifugo ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Bahari ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Verse 4
Na nyumba za Mungu, (zote) zote za Mungu * 2
Na fedha za Mungu, (zote) zote za Mungu * 2
Verse 5
Milima ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Wanyama wa Mungu, (wote) wote wa Mungu * 2