Kifua Mbele

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Advent,Ordinary Time,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Natembea kifua kikiwa mbele mimi

Natembea kifua kikiwa mbele mimi

Sina hofu kamwe moyoni mwangu

Kwa kuwa nina Yesu moyoni mwangu mimin{Niacheni niimbe, niacheni nicheze

Niacheni niruke, nimsifu Mungu wangu } *2

Verse 2

Ni yeye Mungu wangu, mimi nitamsifu

Na ndiye Muumba wangu, mimi nitamwimbia

Nitamsifu Mungu wangu kila niamkapo

Nitamwimbia nyimbo tamu tena za kupendezaniyelelele iyele

Verse 3

Yeye ndiye mlinzi wangu, mlinzi mwaminifu *2

Yeye ni Alfa tena yeye ndiye Omega * 2niyelelele iyele

Verse 4

Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu

Nitayasimulia matendo yake yote

Nitafurahi na kushangilia wewe Bwana

Nitaliimba jina lako wewe uliye juu