Verse 1
Kifo , kifo, kifo (kimeshindwa *3) aleluya
Chorus
Aa Ameni ameni ameni [Uu] alibingirisha jiwe,
Kubwa sana kaburini, Kwelialishinda mauti
Verse 3
Juda Juda Juda alisema Bwana Yesu, asulubiwe akafa
Verse 4
Ewe ndugu yangu uje leo Bwana Yesu, akuita uje leo