SectionsEntranceKiapo Cha Ubatizo

Kiapo Cha Ubatizo

Baptism,BaptismEntrance
Verse 1

[ t ] Kiapo cha uba-tizo wangu,nkutoa si mimi ni wao

Ni mzima nayo akili yangu,nninaapa mwenyewe leo

Chorus

{ Ninaapa, ninaapa,nninaapa mwenyewe leo,

Ninaapa mwenyewe leo } *2

Verse 3

Naapa Yesu ndiye Mwokozi,nsadaka mlipa le-tu deni

Mwenyewe Mwana wa Mwenye-zi,nnaapa ni yangu imani

Verse 4

Naapa kwa Mungu na kanisa,nni mtoto tangu ubatizo

Ya jana nayatubu makosa,nnaapa ni mtu mpya si mchezo