Kesheni

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,AdventEntrance
Verse 1

Kesheni pia ombeni, Mwokozi Yesu yuaja

Vaeni mjifunge tayari tumlakin(Yesu) yuaja mawinguni, Wakristu tumlaki

Kesheni . . .

Verse 2

Upanga wako na uwe Neno la Bwana Yesu

Na ngao na iwe na Mwana wa Mungun(Yesu) daima ukiwa naye hushindwi na maovu

Upanga . . .

Verse 3

Niumbie Roho mwema Bwana wangu

Nishikie mkono ewe Masiha niwe wako milelen(Yesu) nikuandame Masihi nisikuache kamwe

Niumbie . . .