SectionsEucharistKesheni Kila Wakati

Kesheni Kila Wakati

AdventEucharist
Chorus

(Kesheni kila wakati, (ndugu)nkila wakati mpate kuokoka)

Verse 2

Kwa maana hamjui siku,natakapokuja Bwana wenu.

Verse 3

Jiwekeni tayari, maana saanmsiyodhani ndipo ajapo Bwana.

Verse 4

Heri yake mtumishi, ambaye Bwananwake atamkuta akikesha.

Verse 5

Hakika atamweka, aitunze mali yake yote.

Verse 6

Muwe macho, mioyo yenu osijenikalemewa na shughuli za maisha haya.

Verse 7

Muwe waangalifu, na salini daima.