Kazi Ibarikiwe

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus

{Sadaka yetu tunayokutolea, Juhudi zetu tunaziombea,nupokee (pokea) upokee (pokea) upkee sadaka ya wanao } *2

Verse 2

Ya mkate na divai, mazao tuliyolima sisi

Verse 3

Ya fedha na ya mali, kwa kuwa tumevipata kwako

Verse 4

Ya muda na karamu, maana yote ni mali yako

Verse 5

Kusudi ikupambe, popote wakutukuze wewe