Chorus
Kazaliwa mtoto Mungu, binadamu wote furahini
Kazaliwa Mtoto Mungu, umwendee wimbo wangu
Verse 2
Tangu elfu nne miakanwalimwagua manabii
Tangu elfu nne miakantwamngojea na kumtaka
Verse 3
Ni mzuri, ni mpendelevu,nkitoto hicho Mwana mpenzi,
Ni mzuri, ni mpendelevu,nmwenye adhama, mtukufu
Verse 4
Banda la wanyama nyumbaye,
Kitanda chake ni manyasi
Banda la mnyama nyumbaye
Kwa Mungu hali gani je?
Verse 5
Atakaye nyoyo zetu
Zikae naye urafiki
Atakaye nyoyo zetu
Mara moja tumtoe tu