SectionsExitKatika Mji Ule

Katika Mji Ule

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,LentExit
Verse 1

Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu

Ndiko ahadi zetu ziendako *2

Chorus

Mji wangu wa huko mbinguni juu,

Nikiuona ninautamani.

Furaha ya dhambi yanitia giza,

Nitauona lini mji mwema *2

Verse 3

Ninatamani sana kwenda mji huo *2

Ambako nitaishi bila shida *2

Verse 4

Mwokozi wetu Yesu naye asikia *2

Yale maombi yetu tuombayo *2

Verse 5

Usikose kuomba Yesu, asikia *2

Naye atatufikisha, Mbinguni *2