SectionsExitKatika Mji Mwema

Katika Mji Mwema

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,LentExit
Verse 1

Katika mji mwema mbinguni kwa Mungu *2

Ndiko ahadi za Mungu ziendako *2

Chorus

Mji wangu wa huko Mbinguni juu

Nikuona ninautamani

Furaha ya dhambi yanitia giza

Nitaona lini mji mwema *2

Verse 3

Ninatamani sana kwenda mji huo *2

Ambako nitaishi bila shida *2

Verse 4

Mwokozi wetu Yesu, naye asikia *2

Naye atatufikisha mbinguni *2