Verse 1
Karamu ya mwisho ya Bwana Yesu
Aliketi na wanafunzi wake kwa huzuni
Chorus
Yesu aliwaambia Mmoja wenu atanisaliti *2
Alitoa mkate akaumega
Kuleni kuleni huu ndio mwili wangu
Alitoa kikombe akashukuru
Kunyweni hii ndiyo damu yangu
Verse 3
Gethisemani Yesu alianguka kifudifudi kisha akaomba
Akasema Bwana kikombe hiki kwa mapenzi yako kiniepuke
Verse 4
Golgotha Yesu alianguka kifudifudi na kisha akaomba
Mkombozi Yesu alitolewa mwanadamu apate kuokoka