SectionsEucharistKaramu Imeandaliwa

Karamu Imeandaliwa

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

[t|b] Karamu karamu karamu (njoni)

Karamu imeandaliwa, Waitwa wanyofu wa moyo,nkaribuni nyote njooni, Njooni wote tuitikiennaam naam tukampokee Yesu Kristu *2

Verse 2

Ndugu yangu jirani njooni kwa Bwana Mungu

Kama una dhambi nenda ukaziungame

Karamu yake njoo njoo njoo

Verse 3

Jiulize una kizuizi gani wewe cha kukunyima

Wewe kwenda kwa Bwana Mungu ushiriki

Karamu yake njoo njoo njoo

Verse 4

[t|b] upendo wa Bwana Mungu katualika tumpokee