SectionsExitKanisa La Kitume

Kanisa La Kitume

Ordinary TimeExit
Chorus

Kanisa la kitume (kanisa la kitume)

Kwa sababu Roho Mtakatifu aliwashukian{ Wale wote waliokuwapo , wale wote waliokuweponwakati wa pentekoste wakati wa pentekoste } *2

Verse 2

Asili ya kanisa letu limetoka kwa mitume

Na limeendelea kukua tangu wakati huo

Verse 3

Huu muungano na mitume unadokeza kwa kanisa

Kuwa mwaminifu kwa mafundisho

Yaliyofunuliwa na Yesu na mitume kwetu sisi

Verse 4

Roho Mtakatifu ni mjumbe wa mitume na kanisa

Atakuwa kati yao kila wakati

Ni mwalimu wa habari njema aliyoihubiri Yesu