Chorus
Kanisa la Bwana litasimama
Kanisa la Bwana litasimama
Waktwaati wote wa majaribu
Wakati wote wa hukumu
Verse 2
Kwa kuwa limejengwa kwa mwamba imara
Limejengwa kwa mwamba imara, imara
Hata mawimbi mabaya yakivuma
Kanisa la Bwana litasimama
Verse 3
Ndani ya mwamba huo nitajificha
Wakati adui anaponivamia
Nitajificha penye utakatifu
Ndani ya nyumba ya Mungu wa milele
Verse 4
Kwa kuwa limelindwa na roho wa Mungu,
Limelindwa na roho wa Mungu, wa Mungu
Hata shetani aje akinguruma
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa vishindo
Kanisa la Bwana litasimama
Hata shetani aje kwa ujanja
Kanisa la Bwana litasimama,
Daima na milelen