Kando Ya Mito
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Kando ya mito ya Babeli, ndipo tulipoketi,ntukalia tulipoikumbuka Sayunin{(Tukalia sana)ntukalia tulipoikumbuka Sayuni} x2n
Verse 2
Katika miti iliyo katikati yake,ntulivitundika vinubi vyetu
Verse 3
Maana hao waliotuchukua mateka, naonwalitaka tuwaimbie n
Verse 4
Tuuimbeje wimbo wa Bwana ugenini,nmkono wa kuume nao usahau