Kama Sio Wewe
Ordinary Time,MarianThanksgiving
Verse 1
Kama sio wewe Yesu ningekua wapi mimi x2numejawa na neema na rehema tele x2
Verse 2
Kama sio kifo chako ningekua wapi mimi x2numejawa na neema na rehema tele x2
Verse 3
Kama sio damu yako ningekua wapi mimi x2numejawa na neema na rehema tele x2
Verse 4
Zamani mimi Bwana sikua hata na jina x2nnilipo ita jina lako sasa jina ninalo x2
Verse 5
Zamani mimi Bwana sikua hata na afya x2nnilipoita jina lako sasa afya ninayo x2
Verse 6
Zamani mimi Bwana sikua hata na huduma x2nnilipoita jina lako sasa huduma ninayo x2