Amen
Great Amen
Amina amina amina amina. (Amina amina amina) x2.
Aleluya
Alleluia
(Alleluya alleluia) x2. (Alleluya alleluya alleluya) x2.n
Lord Have Mercy
Lord Have Mercy
BWANA UTUHURUMIEnn[Ee Bwana (‘tuhurumie), ee Bwana ‘tuhurumie, ee Bwana (‘tuhurumie), ee Bwana ‘tuhurumie]x2.
Kristu (‘tuhurumie), Kristu(‘tuhurumie),
Kristu (‘tuhurumie), Kristu ‘tuhurumie, Kristu (‘tuhurumie), Kristu(‘tuhurumie), Kristu (‘tuhurumie), Kristu ‘tuhurumie. nn[Ee Bwana (‘tuhurumie), ….] x2.
Gloria
Glory to God
1. (Utukufu kwa Mungu juu mbinguni)x2,n nayo amani kote duniani, kwa watu n wenye mapenzi mema.
(Tuna)kusifu Baba, (tunaku)heshimu
Baba, (tunaku)abudu Baba, tunakutukuza x2
2. (Tunakushukuru kwa ajili) x2, ya n utukufu wako mkuu, ee Bwana n mfalme wa mbinguni.n3. (Ewe Yesu Kristu Mwana wa pekee) n x2, Bwana Mungu Mwana Kondoo, n Mwana Kondoo wa Mungu Baba.n4. (Mwenye kuondoa dhambi za n dunia)x2 , ee Bwana utuhurumie, na n upokee maombi yetu.n5. (Ndiwe pekee yako mtakatifu) x2, n pekee yako ni wewe Bwana, pekee n yako mkuu Yesu Kristu.n6. (Pamoja naye Roho Mtakatifu), n katika huo utukufu, wa Mungu n milele yote.n
Holy Holy
Holy, Holy, Holy
Mtakatifu we, mtakatifu mtakatifu Bwana
Mungu wa majeshi, mbingu na dunian(zimejaa) zimejaa kweli utukufu wako x2.
[Hossana juu, hosanna, hosanna juu,nhosanna juu mbinguni, (hossana juu) x3nmbinguni] x2
(Mbarikiwa yule anayekuja) kwa jina kwanjina la Bwana, (Mbarikiwa yule) anayekuja kwa jina lake Bwana Mungu.
Lamb of God
Agnus Dei
[(Mwana) Kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, Mwana Kondoo wa Mungu utuhurumie] x2.n(Mwana) Kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, Mwana Kondoo wa Mungu tujalie amani. [(Utujalie) utujalie amani utujalie,n(utujalie) utujalie amani] x2.