Chorus
Kaburini hayumo (tena) amefufuka
Tufurahi sote (Bwana) amefufukann{ Furahini na kuimba kwa shangwe ni raha
Mwokozi wetu leo kafufuka ni raha } *2
Ni raha kafufuka aleluya
Verse 2
Tumshangilie Mwokozi wetu
Yesu Kristo mfufuka kweli, leo amefufuka
Kaburi liko wazi (kweli Bwana) hayumo tena
Verse 3
Asubuhi mapema ametoka
Bwana Yesu mzima uzima ametupatia
Verse 4
Kwa ufufuko wake Bwana Yesu
Tumekombolewa kakata kamba za mauti