SectionsEntranceKaa Pamoja Na Sisi

Kaa Pamoja Na Sisi

Lent,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,EasterEntrance
Verse 1

Wanafunzi wawili wa Ye-su (wa Yesu)nwalipokaribia Ema-u (Emau)

Yesu alifanya kama ana-taka kuende-lea mbele

Wakamshawishi wakamshawishi wakisema

Chorus

Kaa pamoja nasi Bwana, Kaa pamoja nasi Bwana

Kaa pamoja nasi Bwana, kwa kuwa kumekutwa na mchana umekwisha

Verse 3

Akaingia ndani, akaingia ndani

Na kukaa nao, na kukaa nao

Akaingia ndani, akaingia ndani

Na kukaa nao, na kukaa nao

Verse 4

Nasi twende na Yesu aliyefufuka

Maishani mwote tuishi naye Yesu (wakristu)

Nasi twende na Yesu aliyefufuka

Maishani mwote tuishi naye Yesu Mwo-ko-zi