Chorus
Jua likichomoza mji wote huu na! ta! za! ma
Naona msafara, msafara,
Pilika pilika nyingi kila mtu ataka ku! pa! ta! riziki
Inachanganya, inachanganya,
Magari na watu katika mji mziman
Najiulizauliza Mbinguni tutakuwa wangapi
Kama hapa tuko hivi dunia yote tutakuwa wangapi?n([a] Swali gumu sana)
Lo kweli Mungu wetu yeye ni mwenye uwezon{(Na tena) Gari lako liwe sala,
Njia yako iwe Yesu, nyumbani kuwe mbinguni
Kwenye makao yake Mwenyezi Mungu,
Sheria kanuni zake Mungu hutumikankwa wanaompenda }*2
Verse 2
Yeye ni mwenye uwezo -nukitubu utamwona Mungu
Tajiri au masikini - ukitubu utamwona Mungu
Verse 3
Yeye hana msafara -
Hata hana askari -
Verse 4
Mwizi acha kuiba -
Mwenye fitina uache -