Verse 1
Jongeeni wakristu, furahini sana
Jongeeni, jongeeni kwa Bethlehemu
Mfalme wa Mbingu, kaja duniani
Chorus
Jongeeni tumwabudu, jongeeni tumwabudu
Jongeeni tumwabudu, Yesu Kristu
Verse 3
Waona wachunga Malaika wa Mungu
Wasikia sauti za uwingu
Na sisi twende Bethlehemu pangoni
Verse 4
Mapendo makubwa, Yesu katupenda
Ametukomboa kwa mapendo
Tumpende tena kweli kwa vitendo