Chorus
Jogoo wa shamba awika sote tuitikie mwito
Arusi ni wito, wakwaya twaimba *2n[b:] Imba imba imba imba asema Bwana
Verse 2
[w:] Arusi ni wito twimbe kwa shangwe tukisifun[t:] {Sisi sote tuusifu wito..n[w:] Wito ni wa Mungu tujitimu} *2
Verse 3
[b:] Aseman[a:] Arusi ya kwanza ni yaken[t:] Shambani Edenin[w:] Kawashikanisha Adam na Hawa
Aawa-shikanisha Adam na Hawa
Verse 4
{[b:] Tuyakumbuke aliyoyaseman[t] Shambani Edeni na arusi Kena, [a:] Anenan[w:] Arusi ni wito iheshimiwe na watu wote *2} *2