SectionsEntranceJipeni Moyo Msiogope

Jipeni Moyo Msiogope

Marian,Lent,AdventEntrance
Chorus

Waambieni watu walio na moyo wa hofu *2n{ Jipeni moyo, msiogope (ogope) [kwa maana]

Tazama Mungu wenu nakuja kuwaokoa nyinyi } *2

Verse 2

Itieni nguvu mikono iliyo dhaifun(Na fanyeni imara magoti yaliyolegea *2)

Verse 3

Ndipo macho ya vipofu yatafunguliwan(Na masikio ya viziwi yatazinduliwa *2)

Verse 4

Ndipo na kilema atarukarukan(Na ulimi wake bubu ndipo utakapoimba *2)

Verse 5

Na katika nyika maji yatabubujika,n(Na nchi yenye kiu itakuwa chemichemi *2)