Jina Lako
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeSign of Peace
Chorus
Jina Lako Baba litukuzwe
Utawale petu milele yote *2n
Verse 2
Baba yetu mwema uliye mbinguni
Jina lako Baba litukuzwe
Verse 3
Na ufalme wako uje hapa kwetu
Na mapenzi yako yatimilike
Verse 4
Tupe leo mkate wa kila siku
Tupe leo mkate wa kila siku
Verse 5
Na utusamehe makosa yetu
Kama tufanyavyo kwa ndugu zetu
Verse 6
Situtie Baba kishawishini
Bali maovuni utuopoe
Verse 7
Ufalme na nguvu na utukufu
Vyote vyako Baba hata milele