SectionsExitJina La Yesu Lafanya Mambo

Jina La Yesu Lafanya Mambo

Ordinary Time,Lent,Ordinary TimeExit
Chorus

Aeeh! Njooni muone - muone

Njooni muone - muone

Njooni muone Jina la Yesu - aeh!n{Linafanya mambo - aa aah!

Linafanya mambo - Jina la Yesu

Lafanya mambo makuu sana} *2

Verse 2

Kwa jina la Yesu pepo wanakimbia

Kwa jina la Yesu wagonjwa wanapona

Kwa jina la Yesu viwete wanatembea

Kwa jina la Yesu vipofu wanaona

Verse 3

Kwa jina la Yesu mabubu wanaongea

Nao viziwi wana wanakusikia

Kwa jina la Yesu waganga wanaokoka

Kwa jina la Yesu dhambi wanazitubu

Verse 4

Kwa jina la Yesu waongo wanaokoka

Kwa jina la Yesu na wezi wanatubu

Kwa jina la Yesu wazinzi wanaokoka

Kwa jina la Yesu Mbinguni wataenda