SectionsEucharistJenga Urafiki Na Yesu

Jenga Urafiki Na Yesu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

{ Jenga urafiki na Mwokozi Yesu,namana ya Mbingu kurithishwa } * 2n{ Tembea na yeye upendavyo,nsafiri na yeye uwezavyo

Kula na yeye popote pale } * 2

Verse 2

Anza basi leo kuwa na yeye,

Rafiki wa kweli katika Mbingu, usichelewe kuwa na yeye

Verse 3

Ni kinga kamili ukiwa naye,

Kwa taabu zako popote pale, anayajua maisha yako

Verse 4

Kwa magonjwa yako ndiye tabibu,

Ayajua yote magonjwa yako, ongozana naye utapona

Verse 5

Jibu la maisha ukiwa naye,

Anapokuwapo hana mpinzani, jipendekeze unufaike