SectionsExitJambo Hili Ninalitamani

Jambo Hili Ninalitamani

Ordinary TimeExit
Chorus

Jambo hili ninalitamani kwa moyo wangu wote ,*2

Maana katika msalaba (wake Kristu), mna wokovu *2

Kuujua kuupenda na kuuishi milele yote *2

Verse 2

Maana wewe Bwana ,

Mimi ninakutumainia kama mlinzi wangu

Verse 3

Tawala maisha yangu,

Nitende kwa uaminifu kazi yako wewe Bwana

Verse 4

Niongoze milele,

Niwachunge kondoo wako Bwana wasipotee