Verse 1
Inueni vichwa vyenu enyi malango
Inukeni enyi malango ya milele
Mfalme wa utukufu apate kuingia
Verse 2
Ni nani huyu mfalme wa utukufu
Bwana mwenye nguvu hodari
Bwana hodari wa vita
Ni nani huyu mfalme wa utukufu
Bwana wa majeshi yeye ndiye Mfalme wa Utukufu