Injili Yake Yesu
Ordinary Time,Ordinary Time,Lent,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Verse 1
1. Injili yake Yesu, ni neno lake Mungu,
Injili iende mbele aah aah aa
Chorus
{ Injili iende mbele aah aah aa
Injili iende mbele ni neno la wokovu aah aah aa } *2
Verse 3
Ni neno lenye mwanga, ni neno lenye nguvu
Ni neno la amani aah aah aa
Verse 4
Injili yaokoa, injili yaponyesha
Injili yadumisha aah aah aa
Verse 5
Mkristu jiandae kusikiliza neno
Neno lenye uzima aah aah aa